Wednesday, July 6, 2011

STANDING COMEDY YA EVANS BUKUKU YAZIDI KUBAMBA @ SWEET EAZY:

 Kwa wale ambao walishawahi kuhudhuria angalau mara moja kwenye maonesho ya tamasha dogo la Hip Hop na Fashions lililokuwa limepewa jina la "WAPI" ambalo mara nyingi lilikuwa likifanyika British Council maeneo ya posta jijini Dar watakuwa wanamkumbuka vizuri sana huyu jamaa, Comedian, Evans Bukuku, ambapo kwenye tamasha hilo alikuwa mwongozaji. Evans Bukuku huyo huyo ndiye anayezungumziwa hapa katika nyanja nyingine ya uchekeshaji wa jukwaani "Standing Comedy" akiwa na kampuni ya Vuvuzela Entertainment, So, Don Get it Twisted, uphere with me... Come along.



 Evans Bukuku akiwadatisha mashabiki wake waliojitokeza katika bustani ya Sweet Eazy - Oysterbay kwa komedi kali, usiku wa jana.
Enika Bukuku (Dada wa Evans) na kundi lake wakiimba na kucheza wimbo wa 'Sharobaro'.



 Evans Bukuku (Mwenye suti nyeusi) na raia waliojitokeza jana Sweet Eazy.
 Evans Bukuku akihojiwa na mtangazaji wa Capita Television.



Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment