Sunday, July 31, 2011

MRISHO NGASSA ALIPOREJEA NYUMBANI TANZANIA TOKA MAREKANI:


Mrisho Ngassa (Kushoto) akiwa na raia, Amin Dola, wakitoka Hotelini kuelekea Airport.
Mrisho Ngassa na Amin Dola kwa pozi la picha.
Ngassa akiwa katika uwanja wa ndege wa Seattle (WA).
Ngassa akiwa Airport akiagana na raia mwingine, Mudrick Majaliwa.

NB: Mrisho Ngassa anarejea Tanzania kutoka nchini marekani alikokuwa katika majaribio na timu ya Seattles, hata hivyo, anataiwa kurudi mwezi january kwa msimu wa usajiri wa dirisha dogo.

No comments:

Post a Comment