Sunday, July 31, 2011

FIESTA DAR NI BALAA:LUDACRIS ATEKA,WADADAAA NA MABRAAAZA SANA TU:

Tell me about your discovery on this picture, Guess what, what's going on !!?
Nyomi la watu.
Wadadaa, wacha wee.
Mmmh..!! Inaitwa backstage siyo..!?
Utitiri wa raia.

Mataluma akipagawisha.
Kwa mbaali, steji ilionekana hivi.
Hii ni zaidi ya mzuka sijui tuiteje labda ndiyo haina majotroo.




Just incase; Likitokea la kutokea,wapo hapa kwa ajili ya huduma ya kwanza.

Ben Paul.
Amin na wafuasi wake kwa nyuma.
Beka, Mdogo wangu.
Linah akivikata vile viuno.
Mwasiti na Godzila.




Jamaa hapa akiongea na Rizwani, Izo Business.





Mandojo na Domokaya.
Watoto wa Arusha jukwaani.
Uza uza mwanangu.
Tip Top Connection.

Ukisikia Paa ujue JCB, ukiona maua maua ujue masharobaro, Ni nani...!!??
 
...., Huyu hapa, Rais wa wasafi, Ze platnum, Diamond.
 
Mkongwe, Prof Jeezy.
Mwana FA.
Black Nyeusi Ngumu, ni Hip Hop ya Fid Q.

Aaahh, all the way from Georgia Atlanta...
LuudaaCrisss.

Deejay wa Ludacris.

No comments:

Post a Comment