Sunday, July 3, 2011

AJALI NYINGINE DAR, YAJERUHI, HAKUNA ALIYEKUFA:

 Moja ya gari iliyopata ajali.

Ajali hii ilitokea jana jumamosi maeneo ya Oysterbay karibu kabisa na kanisa la St.Peter na ilihusisha magari mawili, gari kubwa mfano wa lori (Pichani) na gari ndogo.
 Gari hiyo ikiwa imebaki tupu baada ya bodi yake kunyofoka kutokana na ajali hiyo.
 Bodi ya gari hiyo baada ya kunyofoka kutoka kwenye maungio yake.
 Mwonekano wa gari ndogo baada ya kupata ajali.
 Wasamaria wema wakisaidia kumwokoa mama aliyekuwa ndani ya gari ndogo iliyopata ajali.
 Hapa wakimsaidia kumshika, kumtuliza na hatimaye kumpeleka hospitali mama huyo majeruhi wa ajali hiyo.
 Asakari wa usalama barabarani akichukua taarifa ya ajali hiyo.
 Askari akimchukua dereva wa gari kubwa iliyopata ajali.
Safari ya kuelekea kutuo cha polisi ikaanza baada ya kupata lifti ya bajaji.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment