Saturday, June 25, 2011

WAKATI WAKAAZI WA MIKOA MBALIMBALI BONGO WAKIJIANDAA NA MSIMU MPYA WA FIESTA,SUGU ANENA KUHUSU FIESTA-MBEYA:

Joseph Mbilinyi a.k.a SUGU.

"Mbeya hatuhitaji upuuzi unaoitwa Fiesta, kwahiyo isije na naapa. Uamuzi huu ni sehemu ya mapambano yetu dhidi ya maadui hawa wa maendeleo ya sanaa and we are very serious on this one." Alisema Sugu.

Aliendelea kusema, "Mimi nawakilisha tu matakwa ya vijana wengi wa Mbeya hasa wa Mwanjelwa (SIDO), wamelileta hili kwangu na nina furaha kuwa nao na kuhakikisha matakwa yao yanakuwa by any necessary means". Alimalizia Sugu, Mh.Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini.
Chanzo cha habari hii, Bonyeza The Big top ten.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment