Saturday, June 25, 2011

WAKATI SUGU AKIAPA KUZUIA KUFANYIKA KWA FIESTA MBEYA,JAFARAI NAE AKAIBUKA:

Jafari Ally Mshamu a.k.a Jafarai.

"Nikiwa kama mmoja kati ya wasanii wengi tuliosoma Mbeya naamini kuwa jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini sasa mtu usitake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa Mbeya ili kuzuia Fiesta. Alisema Jafarai.

Jafarai Aliendelea kusema, "Najua wakaazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata siku moja. Lete hoja za msingi bungeni kama wenzako wakina Zitto siyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki". Alimalizia Jafarai. Chanzo cha habari hii, Bonyeza The Big Top Ten.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment