Sunday, June 19, 2011

MWENDELEZO WA BIRTH DAY PARTY YA LADY JD NYUMBANI LONGUE:

 Keki ya usiku wa Birth Day party ya Lady Jay Dee iliyofanyika katika bustani ya Nyumbani Longue jijini Dar es salaam.

 Lady Jay Dee akikata keki.

 Braza Michuzi akilambishwa kipande cha keki hiyo.

 Bi Shosti, Shaa nae akilambishwa.

 Gadna G akilambishwa vya ndani zaidi.

 Ray Kigosi na Gadna paleee kaaati.

 Yap yap yooooo.

 Ile ile baaaab.


 Mzazi, Jembe, The Top In Dar.

 Wadada sasa, Odama weee. Yo so cute shosti.

 Sethy na Bob Junior.



Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment