Saturday, June 18, 2011

NDUGU ALPHONCE CHILATO AONGOZA SEMINA ELEKEZI KWA WANACHAMA WATARAJIWA WA FOREVER LIVING PRODUCTS JIJINI MWANZA:

 Ndugu Alphonce Chilato (The FLP Living Testimony, The Lifestyle Trainer) akitoa somo kwa wahudhuriaji wa semina elekezi kuhusiana na mambo mbalimbali yanayopatikana katika kampuni ya Forever Living Products. Semina hiyo iliyoambatana na chakula cha jioni, ilifanyika jana juni 17 2011, La Kairo hotel jijini Mwanza na iliandaliwa na mama Oliva Kashaga (Mkurugenzi wa Kayonza Pharmacy Limited).

 Mr.Chilato akiwa kwenye demonstration.

 Hadhira ikiwa makini ikifuatilia semina hiyo.


 Kwa umakini zaidi, somo linapenya kwenye masikio yao.

 Wadada hao.

 Mr. Grayson Nyenga akinakili points muhimu.

 Mama Oliva Kashaga (Mkurugenzi wa Kayonza Pharmacy Limited), muandaaji wa semina hiyo.

 Madaktari hao.

 Madaktari wengine hao. Dr.John (Mwenye suti).


 Mr.Chilato akiongea na moja ya madaktari waliohudhuria semina hiyo.


 Ni time ya Buffee bini buffet sasa. Don't miss wakati huu.

Dr.Uromi wa B.O.T - Mwanza (Katikati) akichangamkia ile kitu ya buffee pale kaaaaaaatiiii.

 Raia kwenye bufee.

 Sir Nyenga (Mwenye suti nyeusi, nyuma ya dada anayejisevia), sana tu mkubwa, mwili haujengwi kwa tofali wala haulindwi na mmasai.

 Buffee limeamia mezani.


 Wakati raia wakiendelea kupata menyu, Mr.Chilato aliingia katika segment ya mafunzo kwa vitendo ambapo alionesha baadhi ya maajabu ya bidhaa hizo za Alovera.

 Mr.Chilato akiendelea Demonstration.


Maajabu maajabu maajabu.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'

No comments:

Post a Comment