Tuesday, June 21, 2011

FAINALI ZA SERENGETI DANCE LA FIESTA ZILIVYOFANA,NEW MAISHA CLUB DAR:

 Kundi la Face 2 Face likiwa jukwaani likonesha umahiri wake wa kutaka kuibuka mshindi kwenye shindano la kumsaka mkali wa msimu wa dhahabu unaoendelea wa serengeti dansi la fiesta 2011,linalofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club jijini dar,ambapo watu kibao walijitokeza kulishuhutia shindano hilo ambalo lilikuwa limejawa na msisimko mkubwa.

 Kundi la Under Zone wakionyesha umahiri wao wa kucheza mbele ya mashabiki wakati wa kulisaka kundi bora la msimu wa dhahabu unaoendelea wa Serengeti 2011 jioni ya jana kwenye ukumbi wa New Maisha Club,jijini Dar.

Kunani paleeeeeee... Tanga. Kundi la Ice Cream kutoka jijini Tanga likisubiri majibu mara baada ya kuonyesha umahiri wao wa kucheza,jioni ya juzi kwenye ukumbi wa New Maisha Club,jijini Dar wakati wa kulisaka kundi bora la msimu wa dhahabu unaoendelea na Serengeti 2011.

 Kundi la MHT kutoka jijini Mwanza likiwa ndani ya ukumbi wa New Maisha Club katika mchakato mzima wa kushiriki shidano la kulisaka kundi bora la msimu wa dhahabu unaoendelea na serengeti dansi la fiesta 2011.

 Kundi la Bsix kutoka Zanzibar wakionyesha umahiri wao wa kucheza kwa namna ya kipekee kuhakikisha karata yao ya ushiriki ndani ya shindano la dansi la fiesta haipotei bure.


 Palikuwa hapatoshi juzi ndani ya ukumbi wa New Maisha Club,wakati wa kulisaka kundi bora la msimu wa dhahabu unaoendelea na serengeti dansi la fiesta 2011.Pichani ni kundi la MUTE kutoka Morogoro

  Vijana kutoka jijini Dar,kundi la Still Unity wakionyesha manjonjo yao mbele ya mashabiki kibao waliojitikeza juzi jioni kwenye shindano ya kulisaka kundi bora la msimu wa dhahabu unaoendelea wa Serengeti 2011,linalofanyika jioni ya jana kwenye ukumbi wa New Maisha club.

 Mmoja wa majaji kutoka Clouds FM 88.4 Hamis Mandi a.k.a B Dozen akifuatilia kwa makini mpambano wa washiriki wa dansi la Fiesta 2011 uliofanyika ndani ya ukumbi wa New maisha club,jijini Dar es salaam jana.
Jaji mwingine kutoka Clouds TV,Kwisa Thomson akifafanua jambo wakati wa kulisaka kundi bora la msimu wa dhahabu unaoendelea na Serengeti dansi la Fiesta 2011 ndani ya ukumbi wa Maisha Club,jijini Dar.

 Majaji wote watatu wa shindalo hilo. Kutoka kulia B12 wa Clouds FM Radio, Msami wa Tanzania House of Talent na Isakwisa Thomson. Chapa ilale.

 Umati wa mashabiki uliojitokeza New Maisha Club jijini Dar es salaam juzi.


Mashabaiki mashabaiki mashabaiki pale kaaaati.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment