Sunday, June 26, 2011

ILIVYO 'HAPPEN' JUMAMOSI YA JANA NDANI YA CLUB LIPS-MWANZA:

 Kaka mzazi a.k.a Kassim/Kessy akiwa na washikaji usiku wa jana ndani ya club lips.

 Kaka mzazi na shosti. Niiiiiiceee pale kaaaaaaati.

 Caris a.k.a Mr Everything na kibandiko cha 'old school' kichwani akiwa na washikaji ndani ya club lips. Kama kawa kama dawa.

U-Dj ni taaluma baaana, The all hits Deejay, Dj Davy, kwenye wheels za chuma akisababisha 'michomo' yote ndani ya nyumba mpaka baaaaasi.

 Who said BIG Notorious is dead.?? And if so, might the above buddy be his replica..?? Oooh Yeah, it might be him. Anaitwa nani huyu? Who knows..., have me some updations.

 Mshakaji hapa, sana tu baabu.

 Majamaa fulani hivi.

 Sistaaz, Ruth na Zubeda.

 Daaaaah.

 Ilinoga sana. Sorry for whom s/he missed out.

"Everybody knows Zila ni Balaa". Hizo pia zilikuwepo. Ni panchi line kwa kwenda mbele wakati mwanasalasala, Godzila, alipopanda stejini.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment