Friday, June 17, 2011

BARNABA,LINAH KUTUMBUIZA KATIKA USIKU WA VODACOM MISS MWANZA 2011:

 Linah (Kushoto) na Barnaba wakitumbuiza katika moja ya shoo zao za pamoja.


 Baadhi ya washiriki wa Vodacom Miss Mwanza 2011 wakiwa kwenye pozi.


Warenbo, wadadaz.

Kwa mujibu wa C.E.O wa kampuni wa SISI Entertainment (waandaaji wa shindano hilo), ndugu John Dotto, shindano hilo litafanyika siku ya Ijumaa tarehe siku 24 Juni 2011 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel ya jijini Mwanza. Mbali na Barnaba na Linah, kutoka Mwanza pia watakuwepo Sajna na C-Sir Madini.
Viingilio katika shindano hilo vitakuwa Tsh.10,000/= kawaida na Tsh.20,000/= kwa V.I.P.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment