Saturday, May 21, 2011

STEVEN KANUMBA VS RAMSEY NOUAH (PART 2):

 Kanumba akitoa maagizo kwa watu wake katika scene hiyo.

 Mashati, masuti, makoti sasa, si kitoto mzeiya.

 Duuh..! Zat Great bana.

Aaaah...!! Jamaa wametisha katika sinema hii. Baaaab kubwa. Hii ni moja ya scene zilizotia fora pale kaaati.

 Ramsey na Cameraman, zakayo, wakitazama picha katika monitor.

Ramsey na Kanumba a.k.a  Ze Great katika scene nyingine ya pamoja. 

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.


No comments:

Post a Comment