Saturday, May 21, 2011

BONGO MOVIE CLUB WALIPOWASILI JIJINI MWANZA:

 Sir Steve Nyerere, welcome to the City of Stones, Rock City, Mwanza Mwanza.

 The team.

 Mashostito, Odama na Mainda.

Sana tu.

Bongo Movie Fc imetua jijini Mwanza kwa ajili ya mechi ya mpira wa miguu kati yake na Mwanza All Stars FC inayojumuisha wanamziki wa Mwanza, MaDj wa Mwanza, na watangazaji wa Mwanza. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho jumapili katika uwanja CCM Kirumba jijini Mwanza. 

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.


2 comments:

  1. Hamna kitu hawa ni mafisadi wanaotumwa na WaHINDI kuua wasambazaji wazalendo, kampeni wanazofanya ni batili hawafai hata kidogo . Hawapendi kuona vizazi vipya Je kama akina mzee Kipara wangekomaa wenyewe wao wangekuja katika tasnia ya filamu na kuwa nyota? WAANGALIENI SANA VIBARAKA WA WAHINDI HAOOO..

    ReplyDelete
  2. Nimekusoma mzee hapo juu.

    ReplyDelete