Wednesday, May 25, 2011

RAIS KIKWETE AZINDUA MFUMO WA MAWASILIANO YA KOMPYUTA KWA LUGHA YA KISWAHILI:

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, usiku wa jumanne tarehe 24 May 2011amezindua rasmi mfumo wa mawasiliano wa Windows 7 Kiswahili Interface Pack unaotumia lugha ya Kiswahili na unaotarajiwa kunufaisha zaidi ya watu 150 milioni wanaozungumza Kiswahili duniani kote.

Sherehe za uzinduzi wa mfumo huo wa mawasiliano zilifanyika kwenye hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na miongoni mwa wageni wengi waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia, profesa Makame Mbarawa na Meneja mkuu wa Microsoft kanda ya Afrika Mashariki na kati.

Soma zaidi  Bonyeza Hapa
(Michuzi Blog)

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.


No comments:

Post a Comment