Tuesday, May 10, 2011

KAKA MZAZI a.k.a KASSIM ALIVYO WAKAWAKA KATIKA INVITATION PARTY YAKE JIJINI MWANZA:

Mambo yalianza hivi, hiyo ndio ilikuwa "The Entrance to the Show"  nami nasema "Welcome to the Mr & Mrs Kassim Show".

Ni ukumbi wa B.O.T Training Institute uliopo eneo la Capripoint jijini Mwanza.
Raia walianza kwa kujisevia mishkaki ya nyama choma pale pale kwa nje, hii kiboko.

Ukumbi kwa ndani waliuacha mweupeeee, unafanya mchezo na nyama choma nini.
Hata keki ilisahaulika kabaaisa.



Mara ghafla, ukumbi ukajaa raia kibao.



Dee Tyming, Dee Malosha.

Kefa ze blogger

Pamba nyepesi.




Karibuni sana ukumbini.



Sherehe yetu haikuwa na kikwazo cha umri ndio maana hata "Under 18" pia walijimuvuzisha eneo la tukio.


Dee Tyming tena.


Ma-sheikh wetu.
Wacha wee, nimeipenda sana hii.

Wakuu wa nchi.

Bila shaka huyu ni kaka Ivan Laiser.




Kaka Mzaray na King'asti wake au King'asti na king'asti.


Hapa ni ukweni kama sijakosea.



Utepe ambao ilibidi ukatwe kwanza na maharusi ili waingie ndani.

Maharusi wetu haooo wanaingia.

Na tuone sasa kama kweeeli watakaaata, utepe..

Wapambe .

Hapa ndo palee utepeni.


Ilibidi tuondoe nuksi na kitu cha duaa kwanza.




Cameraman Kazini.

Utepe umeshakatwa.


Kaka Kubingwa.


Bi shosti Stellah wee.

Wameshafika katika jukwaa kuu.


Mambo ya keki sasa.

Ngoja nikufundishe kukata mtoto.










Mwakalinga sijui alikuwa anipeleka wapi hii keki.


Nyingine ukweni.





Zamu ya baba Ruta kufungua shampeni.

Kwa utaalamu zaidi.









Sasa tukagonge cheers.



Mama Tingo huyoo kwenye cheers.


Dada huyu..mmmmmhhh.



Pamba mwenyewe, sana tu, wakilisha mwanangu.


Kilichofuata kilikuwa ni shoo ya mziki kutoka kwa Sajna na Josefly.

Josefly(Kushoto) na Sajna.
Wahudumu wa msosi wakiangalia shoo.

Dee Jay aliyesababisha burudani yote mle ndani.
Kaka hapo vipi au ndo maneno matam kutoka ubavuni.
Matron weee, kwa raha zako.

Makini wakiangalia shoo ya mziki.




Wakati shoo ya Sajna na Josefly kiendelea ndani, raia wengine wako nje wanafanya mengine, hawa walikuwa wanafuatilia matukio kupitia Ze Caris Blog.

Wazee wa ngano a.k.a maji ya mende a.k.a maji ya Ilala kwa nje wakiendeleza kilaji taratiiibu.

Sana tu.

Mjaasiri aachi asili bana, Pamba nyepesi mzigoni, kama kawa kama dawa. 6 +2= Chapa ilale.


Waliobaki ndani waliendelea kufuatilia shoo.

Sasa ni time ya "Shopping ya tumbo" a.k.a msosi, maharusi walitutangulia kama ilivyo ada.



Raia wakiendelea kubofya bofya wakisubiri zamu zao zifikie.

Raia.

Msosi na king'asti wako baana.

Bi Rukia, bi matron, hadi raha.

Ze Best man.

 Dr. Tingo.
Sekta ya vinywaji ilisimamiwa na braza kaka hapa, mzoefu sana huyu.

Kaka kubingwa na bi Stellah, habbaari zenu baaana.

Babu, si wa loliondo bali ni wa kahawa. Kwetu twaita gahawa.

Dee tyming akimpatia zile swagga babu wa gahawa.

Dee tyming, mwili hajengwi kwa tofali na wala haulindwi na mmasai, ng'arisha baaabu ng'arisha.

Aiii, Aladji aladji aladji.

Ma shosti hao.


Caris ze blogger sasa, sitakigi utani pande hizo. "Get Serious Guys".

Caris mzigoni.

Ofcourse, hii ilikuwa baada ya kushiba.

Sasa tukatoe zawadi zetu. Mr Ndossi akijongea.



Zawadiiiiiiiiiiiiii.



Mr Peter Challe akitoa zawadi yake.


Ilikuwa ukitoa zawadi unapewa zawadi, nipe nikupe.

Mamaaz wanawaka waka.

Zawadi kutoka kwa wafanyakazi B.O.T - Mwanza.

Dizaini kama washikaji walikuwa wanaendele kung'ata msosi hivi wakati wa wazawdi.

Zawadi kutoka kwa wazazi




Mzee hapa akitoa zawadi yake kwa mwanawe.

Ze Brothers, bonge ya Lavu.

Katoto kadogodogoo.





Sistaa Win, ilinoga sana.

Mama yetu sasa.

Kapendezaa.

Caris kwa mama.


Maama mama mama mama huyoo......


Kefa kwa mama.

Zawadi kutoka kwa wanakamati.


Neno kutoka kwa wanakamati.

Kiongozi wa kamati akifungua cheki ya shilingi milioni moja na ziada kama zawadi kwa maharusi

Kaka mzazi akiangalia kwa makini cheki aliyokabidhiwa.

Tuchomoe sasa vitambaa vyeupe, tuvining'inize hewani, kama ishara ya upendo.

Na watu wote ukumbini walifuata stahili hiyo ya kitambaa cheupe.
Mama nae kitambaa cheupe hewani.


Raia woote vitambaa vyeupe hewani.



Sasa tufungue mziki tuone upande huo .

Kwaitooo

Kwaitoo kwaitoo na mama nae ndani ya kwaito.


Kefa kwaito.

Nadhani hii ilikuwa ile ya kidole juu.


Mr & Mrs Mwenda.

Caris na Matron kwa nyuma.



Caris na Matron tena.



Kefa na Caris wakicheza 'Alamba alamba tena aam aam'.

Usinitanie kabisa anga hiyo bwana mdogo Kefa, ngoja nikuoneshe kazi.


Mr & Mrs Kubingwa.

Tukimalizia malizia show yetu.



Pamba nyepesi, Dee tyming, Kefa wakimalizia malizia.

Sajna na Josefly.

Swagga zetu zile.

Caris Komba, Signing out. 
"The End"

Photoz by Caris and Kefa.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click Post comment.

No comments:

Post a Comment