Wednesday, May 25, 2011

MAANDALIZI YA MISS UNIVERSE-TANZANIA YAPAMBA MOTO:

Baadhi ya wasiriki 20 wa Vodacom miss Universe-Tanzania wakisikiliza kwa makini neno kutoka kwa wadhamini wakuu wa shindano hilo, Vodacom, wakati wa semina ya kujifunza mambo mbalimbali ya kampuni hiyo.

 Mshiriki wa shindano hilo, Yacoba Assengu, akijibu hoja iliyoulizwa na waandishi wa habari waliokuwepo katika semina hiyo.
 Elihuruma Ngowi, ofisa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania, akieleza jambo kwa washiriki hao.

Shindano hilo linatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu chini ya udhamini mkuu wa Vodacom Tanzania na linatarajiwa kuwa na jumla ya washiriki 20.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment