Leo ni jumapili tarehe 15 May 2011, jijini Mwanza kumekuwa na utulivu wa hali ya juu. Gari barabarani ni chache kama inavyoonekana katika barabara hii ya Nyerere karibu kabisa na 'bustani' moja maarufu hiitwayo 'Salma Cone' na mgahawa wa chakula 'The Food Square'.
Huu ni upande wa pili wa barabara ya Nyerere na wenyewe hauna hata gari moja jambo ambalo si la kawaida kwa siku za wiki, jengo linaloonekana ni jengo la CCM Mkoa wa Mwanza.
Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click Post comments.
No comments:
Post a Comment