Sunday, May 22, 2011

BAADA YA SHINYANGA, KANUMBA NDANI ROCK CITY, MWANZA:

 Wakiwa kwenye basi wakizungushwa hapa na pale kushangaa shangaa jiji na mataa yake.

 Welcome to the City of Stones, Mwanza Mwanza.

Sana tu.

Kanumba aungana na waigizaji wengine wa Bongo wanaounda The Bongo Movie Club na kuzulu Mwanza kwa ajili ya mechi ya mpira wa miguu kati yao na Mwanza All Stars, mechi hiyo itachezwa baadae leo katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.



No comments:

Post a Comment