Sunday, June 9, 2013

KILICHOENDELEA BAADA YA MZEE HASHIM KAMBI KUFIKA LOCATION:

 Tukijiandaa kwa scene.
 Tukisubiria subiria kidogo...!
 Na braza wetu Mrema maeneo ya Ilemela Mwanza.
 Washikaji walikuja kutucheck location.
 Seti seti Camera bandugu.


 Tukisafisha location kwa ajili ya zoezi la kushoot.
Tuko pamoja.

 Brazaa Mrema, bonge moja la company.
 Mzee akiwa katika scene yake ya kwanza.
 Long shot, mzee akiwa na rafiki yake wa karibu.

 Akiwa na mkewe.
 Man alone..
 Msosi tym. Hii sio scene tulikuwa twala hasa. Kitu cha mpunga.
 Kautani kidogo wakati msosi ukiendelea.
Twenzetu....
Picha na. D Classic, music producer aliyetengeneza wimbo wa Dear God wa Kalla Jeremiah kupitia studio ya Rock Town Records ya hapa Mwanza, wimbo uliomwezesha Kalla kunyakua tunzo tatu katika Kili Music Awards 2013. D Classic utamcheki ndani ya movie hii. Stay tuned Charii yangu. 
TO BE CONTINUED...!

No comments:

Post a Comment