Wednesday, February 27, 2013

AMAZING WOMAN'S HAIR, GOT TAGGED..?:

Asha Mandela, mwanadada kutoka Amerika apanga nywele zake katika barabara ya Kenyatta Avenue, Nairobi Februari 24, 2013. 

Mwanadada huyu anashikilia rekodi ya kuwa na nywele ndefu duniani, nwele zake zina urefu wa 21 ambayo ni sawa na sentimeter 640.08. Alikuwa amefika Kenya kutembelea marafiki. Picha/STEPHEN MUDIARI
 
Anaitwa Asha Mandela, mwanadada kutoka Amerika, akiwa amepanga nywele zake katika barabara ya Kenyatta (Kenyatta Avenue), Nairobi, Februari 24, 2013 (Juzi juzi tu hapa).

Mwanadada huyu anashikilia rekodi ya kuwa mwanamke mwenye nywele ndefu zaidi duniani, nywele zake zina urefu wa 21 ambayo ni sawa na sentimeter 640.08.  Alikuwa amefika nchini Kenya kutembelea marafiki zake. Tell me, GOT TAGGED...?  hahaha hahaha hahaha... What amazing hair the woman has. Bas sauwa., bado tuko pamoja guys.

No comments:

Post a Comment