Tuesday, June 26, 2012

VITUKO VYA FACEBOOK:


I LOVE CROCODILES, MIMI NA MAMBA DAMU DAMU.

BABU WA KISASA; BAAAABU, KUNA NET HUMO AU MBWEMBWE TU.

Mmmmh...., hii teknolojia sasa mpaka kwenye viota na starehe za ndege warukao..?

Haloo bana utani mwingine sio mzuri jamani. Mnataka spika akimbie wadhfa...??
zawadi yangu kwako hii hapa hahahaaaaaaaaaaaaaaa,>>
               nisamehe kama nimekosea
"Kila mtu na demu wake, kila mtu na demu wake kila mtu na demu wake, king'aaasti I need you I want you"

No comments:

Post a Comment