Wednesday, June 13, 2012
MAMA YAKE WEMA SEPETU AMZODOA JACK WOLPER, AMWONESHA KITANDA ALICHOKUWA AKILALA WEMA TANGU UTOTO WAKE:
Kama mfuatiliaji mzuri wa myenendo ya mastaa wa Bongo utaikumbuka ile kauli ya Ambarozi wa Bongo hapa namzungumzia Wolper ambaye siku kadhaa zilizopita alisikika akitoa kauli ya kwamba "Atamnunulia Wema Sepetu kitanda", kauli ambayo leo hii (jana) tumeona kwenye kipindi cha Take One cha Zamaradi Mketema pale Clouds Tv mama huyo akiongea kwa jazba juu ya kauli ya Wolper huku akitoa maneno makali na kuonesha chumba alichomlelea mwanae toka akiwa mdogo hadi alipohamia kwenye nyumba yake mwenyewe anazoziita za vichochoroni na kusema kuwa Wolper asijaribu kujifananisha na mwanawe na kuongeza kuwa Wema ni mtoto mwenye wazazi kama walivyo watoto wengine. Zaidi, fuatilia wiki ijayo (jumanne saa 3.00 usiku) kipindi cha take one cha Clouds Tv kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
makubwa madogo yana nafuu mmmh usupastaa wa bongo nap machachali mmmh yangu macho naendelea kutega sikio tu tupashe kijana the dres code..! nakusoma sana mzeiya
ReplyDelete