Tuesday, March 27, 2012

THE NEXT STARS ARE CREATED, A NEW MOVIE IN TOWN,GET READY:

Movie Industry Africa Co. Limited based in Mwanza presents this film project right from the Rock City-City Of Stones-Mwanza-Tanzania. There we go.
Cameraman Zaky Maduhu akiset vizuri Camera yake kabla ya mambo kuanza. Kulia kwake ni Gerald Tito, moja ya waigizaji katika movie hiyo.
Yes, hapo sawa. Camera setting imekamilika, tuingie mzigoni.
Jamaa alizamilia leo kuvunja mguu wa dada katika scene inayokwenda kufanyika hapo.
Dada, Carin (Atakayegongwa na pikipiki) akiplay party nyingine kama Make up artist. Full urembo hapo.
Ukikutana na waelevu nawe utakuwa mwelevu tu. Her movie career as her 'Road To Publicity', her gateway to Stardom starts here. She is Carin - The next star, The Movie Star. Hapa akipaki paki vizuri make up kit yake baada ya zoezi la kutung'arisha kumalizika.
 Mapitio ya Script dakika chache kabla ya karinye kuanza. Kwa mbaaaali kutoka kushoto (Aliyevaa headphone) ni Rasta Jaffari, mwigizaji mwingine katika movie hiyo.
 Carin na Raph (Waigizaji wakuu-Main characters) wakisoma script.
 Kama kawa washikaji/watazamaji lazima wawepo kushuhudia makamuzi.
 Carin na Raph on camera set ready for action, pembeni ya cameraman (mwenye kofia) ni July Tax, Muongozaji wa filamu hiyo (The Director).

 Carin akisikiliza maelekezo ya Director, July Taxi na Cameraman.
 Wakiwa kwenye setting ya Camera.
Yes, mwaga swaga kwa mtoto Carin mpaka ajae huyo, halafu omba na appointment kabisa.

 Chapisha babu Raph.
 Skills binafsi, zote mutaziona hizi katika movie hiyo.
 Eeenhee, jamaa kaua sasa na pikipiki yake.
 Tairi mguuni, close to reality-close to the perfection.
 Carin hoi baada ya kugongwa.

 Rasta Jaffa na Carin.
Aahh.., Rasta na Carin kwa close up shot.

2 comments: