Wednesday, February 1, 2012

SHIDA HAICHAGUI PAKUKAA...., NINA SHIDA JAMANI:

Shikamooni..wana blog wote..mimi ni msichana  mwa nachuo cha dodoma..shida yangu kubwa iliyonifanya niandike hapa ni kwamba nimekua na weusi wa ajabu na kama ukoko hivi mbaya zaidi nikimaliza hedhi ndio sifai sijui niite kona za mapaja karibu na vikojoleo ka pembeni...ni mekua nikijisikia vibaya na huo weusi plus ukavu ukoko..ukizingatia mimi ni mweupe then maeneo ya   kona za mapeja ni mweusi wa ajabu thou nina unene bt ni wa kawaida sana..so ile hali inatoka na mchubuko wa mapaja sawa bt nikija tupia na pedi kwa zile kona nakua sifai naogopa kupanua kitu mchana kutokana na kulivyo thou sitoi harufu bt muonekano tu me wanchosha je hii shida n yangu tu? au kuna wengine? je kuna mafuta gani naweza paka kwenye msuguano wa mapaja angalau pawe hata maji ya kunde...hua nawaza siku nkijifungua manurse si watatapika? manake nasexgi usiku tu mchana naogopa nkipanua kitu hakielewki japokua ni kitamu my bby anasifia pako tight lakini muonekano wa kona za mapaja kuelekea takoni sijaridhishwa nao. Nahitaji msaada wenu ndugu zangu.

No comments:

Post a Comment