Friday, February 10, 2012

JAPO TULIKUWA WACHACHE LAKINI TULIFANYA MAZOEZI YA NGUVU:

Alhamisi ya jana tarehe 9. Feb. 2012, katika viwanja vya B.O.T Training Institute - Mwanza, tulifanya harambee ya mazoezi ya viungo na michezo kwa ujumla kama inavyoonekana hapo chini; mazoezi ni kwa afya njema jamani, karibuni sana tuwe wengi.
Kama kawaida yetu, tulianza na mazoezi ya viungo (Aerobics).



 Mazoezi ya viungo yakiendelea.
 Sasa ni time ya Volleball a.k.a kabumbu la wavu.


 Naima akisikiliza maelekezo kabla ya kuserve mpira.
Hapa sasa kimenoga, service...... serve.


 Hapa Caris akipiga bonge la Smash akim-block D tyming Malosha.



 Baada ya mazoezi tukaanza less za mtaani.
 Ni mida fulani hivi ya saa mbili mbili jioni/usiku.
Hallaa halaaa.
 D tyming yoooo.
Popoz na Caris.
 Caris na D tyming.
 Shangwe za mazoezi zikahamia kwenye viti virefu.
 At Gold Crest Hotel, katikati ya jiji la Mwanza. Halloooooow.
 Jipange wewe, starehe gharama.

 Mandhari ya jiji la Mwanza mida ya jioni/usiku.
 Hili ni jengo la PPF ambapo hoteli ya Gold Crest ipo hapo.
 View kutoka juu, sooooo loooooooovely. 
Karibuni sana Mwanza a.k.a City Of Stones a.k.a Rock City.

No comments:

Post a Comment