Wednesday, February 1, 2012

BONDIA FRANCIS CHEKA NA MADA MAUGO KUGOMBEA UBINGWA WA IBF WA RAUNDI 12, APRIL 28 PTA SABASABA:

Bondia Mada Maugo akiongea na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba uho leokupigania ubingwa IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprili 28.
Bondia Francis Cheka akizungumza na waandishi wa habari leo kupigania ubingwa IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28.
Makamu mwenyekiti wa Oganizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka Nyerere (Kushoto) akiwaelekeza mabondia Francis Cheka kulia na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28.

No comments:

Post a Comment