Tuesday, January 31, 2012

MBWEMBWE ZA MPIGA GITA NA WANENGUAJI:

Mpiga gitaa la bass wa Extra Bongo akipiga gitaa huku mnenguaji wa bendi hiyo akicheza mbele yake wakati msafara huo ulipopita katika barabara ya Uhuru Jana .

No comments:

Post a Comment