Sunday, January 29, 2012

MAMBO YA LUGHA:

Bango hili nililikuta maeneo ya upande wa pili wa Ferry ya Kamanga kama unavuka ziwa Victoria ukitokea Mwanza mijini kelekea Sengerema/Geita. Daah..!! Mambo ya lugha baanaaa.

No comments:

Post a Comment