Thursday, January 5, 2012

MACHO HUONESHA HISIA KATIKA MAPENZI:

Kama vile unavyoweza kuwa na hasira,,mawazo,,ama furaha na macho yako yakaonyesha ishara bila kificho lakini pia katika suala zima la mapenzi hisia huonekana machoni.


Yapende macho yako wakati wote na pia tumia macho yako kufahamu hisia za mapenzi ya mwenza wako.

No comments:

Post a Comment