Wednesday, January 11, 2012

BREAKING NEWS: MZEE KIPALA WA KAOLE SANAA GROUP AFARIKI DUNIA:

Mzee Kipala, enzi za Uhai wake.

Habari za kuaminika na za kusikitisha inaeleza kuwa muigizaji wa siku nyingi wa sanaa ya maigizo, Mzee Fundi Saidi, almaarufu kama Mzee Kipala (Pichani) amefariki dunia mapema asubuhi ya leo. Mzee Kipala ambaye alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa kipindi kirefu amefikwa na mahuti hayo leo maeneo ya Kigogo alikokuwa anaishi.
Caris Blog - The Caris Page inatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na wapenzi/mashabiki  wote wa sanaa ya maigizo nchini.

No comments:

Post a Comment