Tuesday, December 27, 2011

SAFARI ZA TRENI ZOTE ZA ABIRIA TRL ZAFUTWA KUANZIA LEO DESEMBA 27 2011:

Kutokana na mvua kubwa zinazonyesha maeneo mbalimbali ya reli ya kati, uongozi wa TRL umeamua kuchukua uamuzi mgumu wa kufuta safari zote za treni za abiria kutoka Dar es salaam kwenda Kigoma kuanzia leo jumanne Desemba 27 2011 hadi itakapotangazwa tena vinginevyo. Habari zaidi, Bonyeza Hapa (Michuzi Blog):

No comments:

Post a Comment