Friday, December 9, 2011

BENKI KUU YA TANZANIA (B.O.T) YAADHIMISHA MIAKA HAMSINI YA UHURU WA TANZANIA BARA KWA KUTENGENEZA SARAFU YA SHILINGI ELFU HAMSINI:

Benki kuu ya Tanzania imetoa sarafu ya kumbukumbu ya shilingi elfu hamsini kwa ajili ya kuenzi miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania bara. Pichani ni katibu wa Rais, ndugu Mbena akiipokea sarafu hiyo kutoka kwa maafisa waandamizi kutoka benki kuu ya Tanzania, Bibi Zalia Mbeo, Bw Jovent Rushaka na Bw Juma Kimwaga.

No comments:

Post a Comment