Wednesday, December 21, 2011

BAADHI YA MAENEO YA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO:

Hii ni barabara ya Old Bagamoyo inavyoonekana leo baada ya kujaa maji yaliyotokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es salaam ambayao ilianza usiku wa kuamkia jana.
Maji yamejaa kila kona.
Poleni sana wakaazi wa jiji la Dar es salaam na watanzania wote kwa ujumla ambao kwa namna moja ua nyingine wamefikwa na maafa haya.
Hii sasa ni bonde la Jangwani.



Huzuni zilitawala kwa wakaazi wa bonde la Jangwani.

No comments:

Post a Comment