Tuesday, November 1, 2011

KANUMBA IN GHANA:


The great na Katou toka Ghana (Mwanamziki).
 The great, Katou,Chriss toka katika series ya TINSEL-Mnet, Prince Richard, Jasmine (Ghana actress), Omary Captan from Tinsel.
Omary Captan na Mona.
Producer Richard Nwaobi na Kanumba.
Waooh..!!, In case you didn't know: Kanumba na Monalisa wako nchini Ghana, ambapo pamoja na mambo mengine, dili kubwa ni kurekodi trela ya Movie mpya ya kiafrika itakayoandaliwa nchini Ghana kuanzia mwezi wa tatu mwakani. Filamu hiyo ya Kiafrika inayofananishwa na filamu zingine za kiafrika kama vile TSOSI au SARAFINA itapigwa picha katika nchi kadhaa, Ghana, Afrika Kusini, Dubai na New York-Marekani, itahusisha mastaa wengi wa Movie kutoka nchi mbalimbali za kiafrika ambapo kwa Tanzania watakuwa ni Steven Kanumba na Ivon Cherry (Monalisa). Nchi zingine za Afrika ambazo zitatoa mastaa wake wa movie ni Ghana, Nigeria na Afrika Kusini. Katika filamu hii pia w(a)takuwepo staa (mmoja au wawili) kutoka Hollywood ambaye atapata kushiriki. Go go, Tanzania Gooooo. Habari hii ni kwa hisani ya :Steven Kanumba/ The Great:  
Kanumba na Monalisa.

 Kutoka Bongo ndio hawa watakaoshiriki (Kanumba na Monalisa) wakiwa location mara baada ya interview kufanyika na kupita.
Huyu dada ndiye muhusika mkuu toka Ghana.
Kikazi zaidi.
Location.
Camera za ukweli zinazotumika.

2 comments:

  1. Tujitahidi tu mzazi, tutafiki tu. Kaa tayari na Movie Industry Africa Co.Ltd ya Caris Komba.

    ReplyDelete