Friday, October 7, 2011

MUME MBARONI KWA KUMSHINIKIZA MUMEWE KUNYWA SUMU:

Mtuhumiwa Bwana Mohamed Mwawipa ambaye anatuhumiwa kumshinikiza mkewe Nuru Masuba kunywa sumu baada ya kumtuhumu kuwa amemwibia fedha taslimu shilingi laki nne na elfu hamsini akionesha askari wa upelelezi eneo alilonywea sumu mkewe.
Mweyekiti wa kijiji cha Ijumbi kata ya Ruiwa wilaya ya Mbarali Bwana John Mkalimoyo akimfariji dada wa marehemu Nuru Masuba aitwaye Stumai Wilson ambapo marehemu alikuwa akiishi naye Kijiji cha Mapogolo kapunga.
Mwili wa marehemu Nuru Masuba anaedaiwa kushinikizwa kunywa sumu baada ya kutuhumiwa kumwibia fedha shilingi laki nne na elfu hamsini na Mumewe Mohamed Mwawipa akipelekwa kuhifadhiwa kaburini, baada ya uchunguzi wa daktari na polisi kukamilika.

No comments:

Post a Comment