Saturday, September 3, 2011

MAANDALIZI YA "UNPREDICTABLE" KUTOKA RJ COMPANY TZ:


Irene Paul akiwa on set katika maandalizi ya muvi mpya kutoka kampuni ya RJ Company, muvi hiyo inabatizwa jina la "The Unpredictable".  
The Greatest nikiwa na Irene Paul ni mdada anayejitahidi katika fani kama mnakumbuka vizuri katika muvi ya Handsome wa Kijiji.


Camera inashikwa na mwanamama, Bi Khadija Khamis.

Mama Njahidi (Mama mzazi wa Patrick - kijana mdogo aliyeigiza na Jenifa katika muvi ya This Is It, Uncle JJ na Devil Kingdom, zote za Kanumba )akiwa on set pamoja na Kindeki mdada mdogo anayekuja kwa kasi kubwa katika fani.


Kama kawaida ya RJ katika swala zima la production wanakuwaga wako makini sana. kazi inaendelea kama kawaida leo tulikuwa maeneo ya Ilala tukiliendeleza libeneke kama kawaida mzigo unaitwa Unpredictable ni si ya kuikosa ina stoty ya kipekee inzungumzia udini na ukabila unavyoweza kuiathiri Nchi au familia'.






Kindeki akiwa on set.

No comments:

Post a Comment