Saturday, September 3, 2011

MGENI RASMI WA VODACOM MISS TALENT 2011 AWASILI LEO DAR:

Mgeni rasmi wa shindano la kumtafuta miss talent wa vodacom miss Tanzania 2011, mwanamitindo wa kimataifa, Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa miss Zambia mwaka 2003 akimsikiliza mkuu wa itifaki wa kamati ya Vodacom miss Tanzania 2011, Albert Makoye (Kushoto) aliyekuwa akimweleza jambo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl JK Nyerere jijini Dar es salaam alfajiri ya leo. Shindano la miss talent litafanyika leo katika hotel ya Giraffe Ocean View, Mbezi Beach, Dar es salaam, Tanzania. 
  
Mgeni rasmi katika shindano la kumtafuta Miss Talent wa Vodacom Miss Tanzania 2011, Mwanamitindo wa kimataifa Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa Miss Zambia 2003 akiwaameongozana na Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania Albert Makoye mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo.  Shindano la Miss Talent litafanyika leo katika Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika shindano la kumtafuta Miss Talent wa Vodacom Miss Tanzania 2011, Mwanamitindo wa kimataifa Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa Miss Zambia 2003 akimsikiliza Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania Albert Makoye aliyekuwa akimweleza jambo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo.  Shindano la Miss Talent litafanyika leo katika Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach Dar es Salaam.
 
Mgeni rasmi katika shindano la kumtafuta Miss Talent wa Vodacom Miss Tanzania 2011, Mwanamitindo wa kimataifa Cynthia Kanema ambaye pia aliwahi kuwa Miss Zambia 2003 akizungumza na waandishi wa habarimara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo.  Shindano la Miss Talent litafanyika leo katika Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment