Monday, September 26, 2011

RAIS KIKWETE AREJEA TOKA UGHAIBUNI:

Rais, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na waziri mkuu Mizengo Pinda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa  ndege wa kimataifa wa Mwl.JK Nyerere akitokea New York Marekani ambapo pamoja na mambo mengine pia alihutubia baraza la umoja wa mataifa. Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Said Meck Sadik.

No comments:

Post a Comment