Monday, August 15, 2011

WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA 2011 WAKIWA SAFARINI KUELEKEA MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI:

Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Loveness Flavian akizungumza na waandishi wa habari katika mji wa Chalizne   Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini. Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na wananchi.


Baadhi ya  washiriki shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2011, wa kipiga picha na kusalimiana na vijana wa Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na wananchi.
Baadhi ya warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga wenye furaha baada ya kuvuka mto Wami , Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha katika daraja la mto Wami, Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.

No comments:

Post a Comment