Sunday, August 7, 2011

TUJIKUMBUSHE: MATUKIO YA UJIO WA LUDACRIS DAR KUELEKEA FINALI YA FIESTA, JULY 30 2011:

DAY 1: (LUDACRIS ALIVYOPOKELEWA AIRPORT BAADA YA KUTUA BONGO)
Ludacris akifunguliwa mlango wa gari baada ya kutua Bongo kwenye uwanja wa kimataifa wa Mwl. JK
 Nyerere.
Ludacris na raia wake wakiingia kwenye hoteli ya Kilimanjaro Kempinski.
Ludacris akijiweka sawa kwa ajili ya mahojiano na Clouds Tv.
The swagga is on, Ludacris kwa shoo na Clouds Tv.

DAY 2: (LUDA ALIPOKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI).
Ludacris kwenye mahojiano na waandishi wa habari.


Afterwards: (Kwenye Party nyumbani kwa Joseph Kusaga, Mkurugenzi mkuu wa Clouds Media Group)
Ludacris na Rita Poulsen.
Akiwa na Joseph Kusaga.










Am ain't scared of snakes mee, says Luda.

Watu bata tu.
DAY 3: (LUDA JUKWAANI, LEADERS CLUB, KWA SHOO YA FIESTA)






Deejay wa Luda.

Sana tu wazeiya.

No comments:

Post a Comment