Sunday, August 28, 2011

HAPPY BIRTHDAY ANKAL MICHUZI:


Michuzi akilishwa keki na mamsapu wake katika hafla fupi ya siku ya kuzaliwa kwake. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Tandika jijini Dar es salaam. Michuzi anawashukuru wote waliomtumia salamu za besidei njema.

No comments:

Post a Comment