Vodacom Miss Lake zone 2011 Tracy Sospeter Mabula(Shinyanga), akiwa na washindi wenzake, kushoto kwake ni Irene Karugaba mshindi wa Pili(Mwanza), Kulia Kwake ni Glory Samwel mshindi wa Tatu(Shinyanga). Washiriki hawa watatu watawakilisha kanda ya ziwa katika mashindano ya Urembo ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
Warembo wakidance.
Kundi zima la wadada wa Obsession wakiwa kazini.
Filbert Kabago (Kushoto) akighani mashairi yake stejini.
Shindano hilo lilifanyika jana usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa meli ya Mv Umoja iliyokuwa imepaki bandarini katika ziwa victoria jijini Mwanza.
Caris ZE Blogger/Mr.Everything.
Kama kawa kama dawa, lazima ni-sign out, ndiyo zetu.
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This isoptional)) THEN Click 'Post comment'.
No comments:
Post a Comment