Thursday, July 21, 2011

SHARAMA, MKALI TOKA KENYA, ANAKUJA KUZINDUA ALBAM DAR:

Sharama.
Msanii mkali wa hip hop toka nchini Kenya, Ramadhani Chambo a.k.a Sharama, amesema ameamua kuja kufanya uzinduzi wa albam yake ya 'Vunja Winga' hapa Tanzania kutokana na kuona ana mashabiki wengi nchini lakini hawajapata kile wanachostahili kutoka kwake. Habari zaidi Bonyeza JIACHIE 

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment