Tuesday, July 5, 2011

MCHEZAJI WA ZAMANI WA MANCHESTER UNITED, STRIKER, ANDY COLE "ALIPODONDOKA" BONGO:

 Andy Cole (Kulia) akipokea zawadi maalumu kutoka kwa wakuu wa Airtel. Zawadi hiyo aliipokea katika hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya mawasiliano ya simu, Airtel, iliyofanyika jana jamatatu, julai 4 katika ukumbi wa Kempinsi Kilimanjaro Hotel.
 Mwakilishi kutoka Manchester United, Nick Humphrey, naye akipokea zawadi kutoka kwa wakuu wa Airtel.
 Andy Cole akiwa na warembo waliojitokeza kujumuika nae kwenye party hiyo iliyooandaliwa na Airtel.
 Andy Cole na Raia wengine.
 Andy Cole (Kulia) na Ismail Aden Rage wakinena hili na lile.
 Andy Cole na Juma Pinto (Kushoto).
 Ben Kinyaiya naye ndani ya nyumba, hapa akiwa na raia.
 Andy Cole akiwa na Ephraim Kibonde wa Clouds FM Radio.
 Cole na Kinyaiya.
 Cole na Patrick Nyembera wa 5 Sports ya EATV/Channel 5.
 Wakitazama moja ya mechi alizohawi cheza Cole akiwa bado yuko Manchester United kabla ya kustaafu soka.
 Cole akiweka signature katika fulana ya raia aliyefika maeneo hayo.
 Cole na raia kutoka Airtel.
 Dj Peter Mo (Kushoto) na Shafih Dauda.

 Cole akionja mshikaki wa samaki wa kibongo.
 Kamata dadaa... Piga....then....!!!

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment