Saturday, May 28, 2011

STEVEN KANUMBA VS RAMSEY NOUAH (PART 3):

 Kajala Masanja (Kushoto) 'Genevieve Nnaji wa Bongo', amebatizwa jina hilo kutokana na nafasi anayocheza katika sinema hii yaani mpenzi wa Ramsey, nafasi ambayo mara nyingi hucheza Genevieve Nnaji kwenye Niger Movies akiwa kama mpenzi wa Ramsey Nouah. Hapa wakali hawa walikuwa wakisubiria 'Go Ahead' a.k.a Action toka kwa mwongozaji.

 Scene imeanza.

 Wakifanya rehearsal kwa ajili ya kipande kingine.

Utani kidogo, kuchekana chekana nayo imo. Kajala akimcheka Ramsey kwa kushindwa kutamka vizuri maneno ya Kiswahili.

Mambo yameshaanza upya katika ile scene waliyokuwa wakiifanyia rehearsal.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment