Thursday, May 19, 2011

KARIBU MWANZA,KARIBU BRIDGE HOTEL:




Moja ya 'bustani' za uhakika za kumpumzika wakati wote wa misimu minne ya mwaka, weekends pamoja na weekdays, ni "Bridge Hotel" inayopatikana katika mji wa Buhongwa nje kidogo ya jiji la Mwanza. Self contained rooms with TV, huduma maridhawa kutoka kwa wahudumu waliobobea, vyote hivyo vinapatikana kwa bei nafuu kabisa. Fika sasa, The Bridge Hotel.


 Eneo la mbele la hotel.

 Jikoni.

 Meneja wa hotel, Mr Kassim Ibrahim, akiwa kwenye pozi lake.


Ni rahisi sana kufika, it's just one way from Mwanza town to Bridge Hotel, Buhongwa. Get there sometimes for some enjoyments.

Mpango mzima ndiyo huu hapa sasa, wasiliana nao kupitia anwani za kwenye kibao hapo juu, au call (+255)754 44 12 52 (Office), (+255)753 80 81 39 (Manager's Mobile number).
========= KARIBUNI SANA BRIDGE HOTEL =========

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment