Mara nyingi nimekuwa nikisikia habari za watoto kuzaliwa na vichwa viwili lakini kwa paka hii ndio mara yangu ya kwanza kuona. Believe it.
Paka huyu ameingia katika kitabu cha 'Guinness Book of Records (GBR) kwa kuwa paka wa kwanza wa aina hiyo ambao wanaitwa janus kuishi miaka mingi. Paka huyo anaeitwa Frank na Louie ana vichwa viwili na ametimiza miaka 12 tangu azaliwe. Inasemekana paka wanaozaliwa katika hali hiyo hufa muda mfupi baada ya kuzaliwa, lakini hali tofauti kwa paka huyu (Frank na Louie), ama hakika, Kavuka Boda.
No comments:
Post a Comment