Wednesday, May 30, 2012

SPRITE HASHEEM THABIT U17 BASKETBALL CLINIC,JUNE 1-2:

Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu na anyechezea ligi ya NBA ya Marekani , Hasheem Thabeet akiongea  na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu kliniki ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Sprite itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi 2012.
 Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) Michael Maluwe akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani)kuhusu ya kliniki ya vijanai chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi mwaka huu. Kliniki hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Coca-Cola kupitia kinywaji cha Sprite. Katikati ni mchezaji wa Ligi maarufu duniani ya NBA  Hasheem Thabeet na kulia ni Meneja Bidhaa Msaidizi wa Coca-Cola Tanzania Warda Kimaro.
---




Patron:


President:

Vice President:

Secretary General:

Assistant Secretary General:

Treasurer:

Hon. Justice Augustino Ramadhani

Mussa Mziya

Phares Magesa

Alexander Msoffe

Michael Maluwe


Mary Mmbaga


P.O. Box 42089
DAR-ES-SALAAM
TANZANIA
Tel: 0754-261600
0786-261600
E-mail
Mei 28, 2012
Taarifa kwa vyombo vya habari

SPRITE HASHEEM THABEET U17 BASKETBALL CLINIC, JUNI 1-2, 2012

Kwa niaba ya Shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania (TBF), tuna furaha kutangaza
 kwamba Kampuni ya CocaCola imekubali kudhamini mafunzo maalumu (kliniki)
ya mpira wa kikapu mwaka huu kwa ajili vijana wa chini ya miaka 17  wavulana na
wasichana  kutoka mikoa sita ya Tanzania.

Kliniki hii itaendeshwa na Mtanzania, Mchezaji nyota wa kikapu anayecheza ligi ya NBA
Hasheem Thabeet, wa timu ya Portland Trail blazers, nyota hyo tayari yupo nchini
tayari  kwa  ajili ya kliniki hii kufanyika katika viwanja vya mpira wa kikapu Don Bosco,
Upanga, Dar Es Salaam.

Mikoa ambayo itashiriki katika kliniki ya mwaka huu ni Mwanza, Mbeya, Dodoma,
Kilimanjaro, Arusha, Unguja, Pemba na mkoa mwenyeji wa Dar es Saalaam.

Takribani vijana 200 watashiriki katika kliniki hii, Hasheem atakuwa akisaidiwa na
makocha wa ndani 3 na 6 wachezaji wakubwa yumbani,  hivyo wote watanufaika
kutokana  na kliniki hii.

Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Kampuni ya CocaCola  kupitia kinywaji cha
SPRITE kwa kudhamini tukio hili na tunaomba makampuni mengine yaige mfano wa
 Cocacola.

Pia tunamshukuru Hasheem Thabeet kwa kukubali kufanya kliniki hii kama sehemu
 ya  wajibu wake wa kijamii, kwa hili anastahili pongezi za dhati kwa kuwa na moyo wa
 kizalendo na kuweka mbele maslahi ya Taifa  na jamii yake na wanamichezo wengine
wakubwa ni vizuri wakaiga mfano wake.

Tunawashukuru CocaCola kwa msaada wao katika matukio yetu mengi wao wamekuwa
wakitusaidia katika mashindano mbalimbali ya ndani na nje na kliniki za vijana, na
wamekuwa wakifanyia marekebisho viwanja vyetu vya mpira wa kikapu baadhi viko
katika miji ya Dar es Salaam, Pwani, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Arusha na Kilimanjaro .

Tunaiomba CocaCola na taasisi nyingine kuendelea kutusaidia katika matukio yetu
 yajayo  mwaka huu kama kliniki nyingine itakayofanyika Arusha tarehe 9-10 Juni
 itakayoendeshwa na kocha wa NBA toka Marekeni, taarifa zaidi zitatolewa baadae,
kombe laTaifa  mwezi Oktoba na Mashindano ya Mataifa ya FIBA kanda ya 5
yanayotarajiwa kufanyika hapa jijini Dar es Salaam Desemba, 2012.

Pia tunaiomba CocaCola kuendelea na ukarabati wa viwanja zaidi nchi nzima
kwa faida ya vijana wetu, hii inaendana na mpango mkakati wetu wa uendelezaji wa
 miundombinu ya michezo.

Nawashukuru sana,

Phares Magesa
TBF- Vice President

11 comments:

  1. HESHIMA BABU MA VITU YANGU HAYA DU MZUKA MWINGI

    ReplyDelete
  2. Duu, kumbe nawe umo katika hii. Umetisha baabu. Caris hapa-ze DressCode-Glamorous-Mr.Everything-Slider-Shaker-Blazer-T.L.A-Sijui nani.

    ReplyDelete
  3. Howdy! This article could not be written any better!
    Going through this article reminds me of my previous roommate!
    He constantly kept talking about this. I will send this article to him.

    Pretty sure he's going to have a great read. Thank you for sharing!

    Here is my blog post ... pet sling

    ReplyDelete
  4. Hi there, I enjoy reading through your post. I wanted to
    write a little comment to support you.

    My web site - honda s2000

    ReplyDelete
  5. Everyone loves what you guys tend to be up too. This kind of clever work
    and exposure! Keep up the terrific works guys I've included you guys to my blogroll.

    Feel free to visit my weblog ... pruner pole

    ReplyDelete
  6. I do consider all the concepts you have introduced in your
    post. They're really convincing and can definitely work. Nonetheless, the posts are too short for beginners. May just you please extend them a little from next time? Thank you for the post.

    My web blog; 45 Stability Ball

    ReplyDelete
  7. My brother recommended I may like this website. He
    used to be totally right. This post truly made my day.
    You can not imagine simply how so much time I had spent for this information!
    Thanks!

    Here is my web blog; pruner pole

    ReplyDelete
  8. It's an remarkable post designed for all the web visitors; they will get benefit from it I am sure.

    Also visit my site ... mazda rx8 for sale in nj

    ReplyDelete
  9. Hey, I think your website might be having browser compatibility issues.
    When I look at your website in Chrome, it looks fine but when
    opening in Internet Explorer, it has some overlapping.
    I just wanted to give you a quick heads up! Other then that,
    excellent blog!

    My web blog ... causes of snoring

    ReplyDelete
  10. Nice weblog right here! Additionally your site a lot up fast!
    What web host are you using? Can I get your affiliate
    link to your host? I want my site loaded up as quickly as yours lol

    Take a look at my webpage dragon city cheat Engine

    ReplyDelete
  11. Hello! This post could not be written any better!

    Reading through this post reminds me of my old room mate!
    He always kept chatting about this. I will forward this write-up to him.
    Pretty sure he will have a good read. Thank you for sharing!


    Also visit my web blog: Psn Code Generator *http://www.youtube.com/watch?v=2_5b_nVI6X4*

    ReplyDelete