Caris hapaaaa.
Kwa mbaaali namwona mzee Mayugula, Mwaipopo, Jamaa pale, Mama Mgoma, Doctor Uromi, D-Tyming-Loshaz a.k.a Malosha, na dada Upendo. Ilikuwa timu kubwa sana siku lie.
Mazoezi ya viungo.Front line ilipambwa na wahusika kama wanavyoonekana pichani.
Aaah... wapi Magetta.
Kaka mzazi-Kassimu-The Instructor akituongoza katika mazoezi.
Aaaah, Mwakalingsss katikati paleeee.
Timu ya njano, tulionewa sana kwenye football. Refa 'aliwabeba' wekundu utadhani alipewa pesa, lakini mwisho wa siku wakashindwa kabisa kutufunga.
Matokeo kwenye football yalikuwa 2-2 ie (Njano vs Nyekundu).
Jua lilikuwa kali kidogo kwenye hii basket coat.
Nyekundu hao, wachovu, walibebwa sana hawa jamaa na refa wao, wakwanza kutoka kushoto-waliosimama.
picha ya pamoja.
Pamoja sana.
Tulienjoy sana siku ile, karibuni sana ambao hamjawahi kufika.
inapendeza sana kuona mnajali afya zenu!
ReplyDeleteKaah hizo KERO ZA WANANCHI mzishugulikie haraka,sio mtoke hapo tena mpige kitu cha SUPU ya MBUZI with VERY COLD PEPSI COLA,mtakua mmecheza kabisa,,,vinginevyo KUDOS
ReplyDelete