Tuesday, May 22, 2012
MFANO WA KUIGWA KWA DADA ZETU WA SASA: AMETUNZA BIKIRA YAKE KWA ZAIDI YA MIAKA SABINI (70) MPAKA SASA:
Kutoka Uingereza
Pam Shaw amekaa kwa miaka 70 bila kukutana kimwili na mwanaume yoyote. Na mpaka sasa bado hajapata mwanaume anaemfaa kuolewa nae.
Pam anatafuta mchumba mweusi, mrefu, handsome na millionare. Anasema kwa sasa yupo tayari kuolewa na kupoteza bikira yake kwa aina hiyo ya mwanaume.
Kazi kwako kijana mweusi, handsome na milionea, pia, ni changamoto kwako wewe dada wa sasa ambaye unaamini jambo hilo haliwezekani. KILA KITU KINAWEZEKANA, Hata kulala masikini leo na kuamka tajiri kesho yake. JITAMBUE, JIAMINI NA JITUME.
Always, remember this formula: Working Hard + Determination - Panic = Successful.
Baaaaaaaaaaaaasi!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hii ni baraa na kali ya mwaka mwana hatari
ReplyDelete